Skip to main content
Skip to main content

Siha na maumbile | Lishe bora ya watoto yaimarisha afya, ukuaji na uwezo wa kufikiri

  • | Citizen TV
    492 views
    Duration: 5:07
    Lishe bora kwa watoto ni muhimu kwa afya njema, ukuaji wa mwili, na uwezo wa kufikiri. Hata hivyo sio wazazi wengi wanaofahamu jinsi ya kupanga lishe bora kwa watoto ili kuwawezesha kupata manufaa yanayoambana na lishe bora. Katika Makala ya siha na maumbile wiki hii, mtaalamu wa lishe Elizabeth Njeri kutoka Equity Afya Utawala anaeleza kwa kina faida za lishe bora na vipi wazazi wanavyoweza kuhakikisha kila tonge limejaa manufaa kwa ajili ya afya ya mtoto.