Skip to main content
Skip to main content

Siku ya mapacha: Sharon Mathias na Melon Lutenyo waiomba wahisani kujitokeza na kuwapa ushauri

  • | NTV Video
    4,932 views
    Duration: 3:26
    Sharon Mathias na Melon Lutenyo, pacha waliogonga vichwa vya habari humu nchini mwaka wa 2019, walipoungana tena baada ya kutenganishwa walipozaliwa, wamewaomba wahisani na wataalamu , kujitokeza na kuwapa ushauri . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya