- 2,232 viewsDuration: 1:34Siku ya Siku ya Furaha Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 20 Machi. Katika siku hii watu duniani kote wanahimizwa kuthamini na kukumbusha umuhimu wa furaha kama sehemu ya maendeleo ya binadamu. Je wewe jambo gani huwa linakupa furaha? Damaris Kamande anaelezea #bbcswahili #sikuyafurahaduniani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw