19 Aug 2026 1:08 pm | Citizen TV 8,054 views Duration: 2:40 Wingu la simanzi limetada eneo la Kamugunda ,eneo bunge la Gichugu Kaunti ya Kirinyaga kufuatia tukio la kushtua ambapo mfanyakazi anadaiwa kumuua mwajiri wake na kisha kutupa mwili wake kwenye kisima cha maji.