- 5,228 viewsDuration: 2:54Kukamilika kwa Ujenzi wa soko la Masinde Muliro mjini Kitale kaunti ya Tranns Nzoia , kumewapa wafanyabiashara wadogo mazingira salama na bora ya kuendesha biashara zao. Wengi wao wamekuwa wakikadiria hasara kutokana na bidhaa kuharibika au kuathiriwa na jua kali na mvua wakiwa nje