20 Aug 2026 1:24 pm | Citizen TV 579 views Duration: 1:56 Aliyekuwa katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion, amesema kuwa nafasi yake ya awali ya kutetea maslahi ya walimu haitakuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yake iwapo ataidhinishwa kujiunga na tume ya huduma ya walimu, TSC.