Skip to main content
Skip to main content

Sulwe fm yaadhimisha miaka 18 ya kuhudumia wasikilizaji wamagharibi

  • | Citizen TV
    146 views
    Duration: 1:43
    Sulwe fm imeadhimisha miaka 18 ya kuwahudumia wasikilizaji wake, ikiendelea kuwa nguzo muhimu ya habari, burudani na elimu kwa wakazi wa eneo la Magharibi mwa Kenya.