Skip to main content
Skip to main content

Tamasha la kurushiana mawe India

  • | BBC Swahili
    1,588 views
    Duration: 1:34
    Hii ni desturi ya kitamaduni ambapo maelfu ya watu hukusanyika baada ya sherehe ya mavuno na huacha mamia ya watu wakiwa wamejeruhiwa kila mwaka. Rekodi rasmi zinaonyesha zaidi ya vifo kumi na viwili tangu mwaka 1955. Mamlaka zinakiri kuwa zimeshindwa kutekeleza marufuku hiyo, zikisema imani za kienyeji zimekita mizizi sana. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #india #utamaduni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw