Skip to main content
Skip to main content

Tanzania yapiga kura huku ghasia zikishuhudiwa. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    46,374 views
    Duration: 28:11
    Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania Camillius Wambura ametangaza amri ya kutotoka nje jijini humo kuanzia leo saa kumi na mbili jioni. Amri hiyo imefuatia siku ya uchaguzi mkuu iliyokumbwa na maandamano yaliosababisha vurugu katika maeneo kadhaa nchini humo. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mji mkuu wa kibiashara, Dar es Salaam, ambapo polisi walirusha mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliofunga barabara na kuwasha moto. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw