28 Aug 2026 1:40 pm | Citizen TV 533 views Duration: 2:09 Vijana kaunti ya Laikipia wamehimizwa kukumbatia teknolojia za kisasa za ujenzi ili kupunguza gharama ya ujenzi wa nyumba na kuongeza ajira katika maeneo ya mashinani.