3 Sep 2026 10:38 am | Citizen TV 1,014 views Duration: 2:02 Kundi la vijana kutoka Hola kaunti ya Tana River limeandamana hadi nje ya bunge la kaunti hiyo kushinikiza wawakilishi wadi kupitisha bajeti ya kaunti hiyo ambayo wanasema imelemaza huduma nyingi za kimsingi.