22 Sep 2026 7:42 pm | Citizen TV 232 views Duration: 1:05 Timu ya Kenya kwenye mashindano ya dunia ya riadha ya mbio za barabarani iliwasili nyumbani Jumanne asubuhi kutoka Copenhagen, Denmark, ambapo Kenya ilimaliza kileleni mwa jedwali katika mashindano hayo.