Skip to main content
Skip to main content

Timu ya vijana chini ya miaka 15 yaendelea na maandalizi ya kombe la dunia

  • | Citizen TV
    487 views
    Duration: 1:18
    Timu ya taifa ya soka ya wavulana wa chini ya umri wa miaka 15, inaendelea na matayarisho kabla ya kushiriki katika mashindano ya kwanza ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 15 pamoja na tamasha la soka la mwaka 2026, litakalofanyika baku, azerbaijan.