Familia moja kutoka eneo la Ngonyek, Kaunti ya Trans Nzoia, inaishi kwa huzuni baada ya mwana wao kuaga dunia katika hali tata na mwili wake kuzikwa bila idhini yao huko Ughabuni, mjini Dubai. Sasa familia hiyo inaitaka serikali kusaidia ili mwili huo ufukuliwe na kusafirishwa hadi Kenya, kuwawezesha kumpa marehemu mazishi yanayostahili.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya