21 Aug 2026 10:22 am | Citizen TV 432 views Duration: 2:00 Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC yaandaa mkutano wa ushiriki wa umma mjini Malindi kuhusu bajeti ya mwaka wa kifedha 2027/2028 ya tume hiyo.