Skip to main content
Skip to main content

Tume ya uchaguzi IEBC yawaidhinisha wagombea tisa kwenye uchaguzi mdogo Ol-Kalou

  • | Citizen TV
    6,362 views
    Duration: 3:09
    Tume ya huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imeidhinisha wagombea tisa kushiriki kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge Ol-Kalou terehe 16 mwezi ujao. Wakizungumza baada ya kupokea vyeti vyao, wagombea hao waliahidi kuandaa kampeni bila fujo ushindani mkubwa ukitarajiwa kati ya wagombea wa vyama vya DCP, uda na Jubilee.