12 Sep 2026 7:46 pm | Citizen TV 752 views Duration: 50s Tusker FC imefuzu raundi ya pili ya mchujo wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuilaza Al Ahly Madani ya Sudan bao moja kwa bila katika Uwanja wa Nyayo.