Skip to main content
Skip to main content

Tusker FC yasaka ushindi dhidi ya Al Ahly Madani

  • | Citizen TV
    377 views
    Duration: 56s
    Tusker FC itaweka juhudi zaidi dhidi ya Al Ahly Madani ya Sudan katika mechi ya mkondo wa marudiano ya Kombe la Mashirikisho itakayochezwa Uwanja wa Nyayo Jumamosi alasiri. Licha ya kutoka sare ya 2-2 katika mkondo wa kwanza wiki iliyopita, Tusker inasaka ushindi nyumbani katika mechi hiyo muhimu.