7 Sep 2026 1:57 pm | Citizen TV 636 views Duration: 1:32 Mabingwa wa Kombe la Mozzart Tusker FC wamepata sare muhimu ya 2-2 dhidi ya Al Ahli Wad Medani ya Sudan katika raundi ya kwanza ya awali ya Kombe la Shirikisho la CAF.