23 Aug 2026 7:48 pm | Citizen TV 1,040 views Duration: 1:02 Mabingwa wa Kombe la FKF, Tusker FC, wametwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuilaza Gor Mahia kwa mabao 3-1. Mechi hiyo ya kufungua msimu wa soka nchini ilichezwa katika Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo.