11 Sep 2026 1:32 pm | Citizen TV 544 views Duration: 2:05 Uchaguzi wa viongozi wa chama cha UDA katika Kaunti ya Lamu unatarajiwa kufanyika kesho. Viongozi wamewarai wanachama kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi huo.