10 Jul 2026 12:34 pm | Citizen TV 199 views Duration: 1:51 Kitivo cha afya katika Chuo Kikuu cha Kisii, kwa ushirikiano na serikali ya kaunti pamoja na chuo kikuu cha Manchester cha Uingereza , chaanzisha mchakato mpya ya kuleta madaktari wakuu wa saratani nchini .