Skip to main content
Skip to main content

Uganda yathibitisha visa vipya vya Ebola huku tahadhari ikiongezeka ukanda wa Afrika Mashariki

  • | Citizen TV
    1,637 views
    Duration: 3:03
    Taifa jirani la Uganda limethibitisha visa vipya vitatu vya ugonjwa wa Ebola na kufikisha jumla ya waliothibitishwa kuambukizwa hadi watano. Ripoti hizi zinajiri saa chache baada ya World Health Organization kuonya kuwa virusi vya Ebola vinaendelea kusambaa kwa kasi katika Democratic Republic of the Congo. Maambukizi hayo mapya nchini Uganda yameripotiwa kwa mhudumu wa afya na dereva, ambao wote walidaiwa kuwasiliana na mgonjwa wa kwanza aliyethibitishwa kuwa na Ebola nchini humo.