- 3,285 viewsDuration: 4:01Uhaba wa maziwa nchini unawasukuma baadhi ya wakenya kutafuta mbadala wa maziwa ya ng'ombe, huku ufugaji wa mbuzi wa maziwa ukijitokeza kama fursa ya kuziba pengo hilo. wafugaji sasa wanahimiza uwekezaji katika mbuzi wa kisasa wanaoweza kuzalisha hadi lita sita za maziwa kwa siku, huku wakisema gharama ya ulishaji ni nafuu ikilinganishwa na ng'ombe.