- 412 viewsDuration: 1:35Serikali imeahirisha mpango wa kuwahamisha zaidi ya wafanyakazi 7,400 wa Huduma za Afya kwa Wote (UHC) hadi mwaka ujao. Wizara ya afya itaendelea kuwalipa mishahara wahudumu hao katika muda huo ambapo watakuwa kwenye mpango wa ajira ya kudumu na yenye pensheni hadi Juni mwaka ujao. Haya ayameafikiwa baada ya mazungumzo ya kina kati ya waziri wa afya Aden Duale na Baraza la Magavana.