Skip to main content
Skip to main content

Uhuru ajibu kwa kejeli madai ya Ruto kuhusu ufadhili wa upinzani

  • | Citizen TV
    22,628 views
    Duration: 2:33
    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amejibu kwa kejeli madai ya Rais William Ruto kwamba amekuwa akifadhili muungano wa upinzani. Akizungumza huko Murang’a, Kenyatta alikwepa kuzungumzia masuala ya siasa, huku baadhi ya viongozi walioandamana naye wakimtetea. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amemtaka Rais Ruto kumkoma Kenyatta.