Skip to main content
Skip to main content

Uhuru ajitenga na madai ya kufadhili Muungano wa Upinzani

  • | Citizen TV
    7,349 views
    Duration: 2:37
    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amejitenga na madai kuwa ndiye mfadhili wa Muungano wa Upinzani, akisisitiza kuwa hahusiki kamwe na masuala ya siasa nchini. Akizungumza katika hafla ya 23 ya ukumbusho wa aliyekuwa makamu wa rais Michael Kijana Wamalwa katika kaunti ya Trans Nzoia, Kenyatta alipuuza madai ya Rais William Ruto kwamba ndiye anayeyumbisha serikali yake. Uhuru pia alikashifu visa vya uhuni katika mikutano ya kisiasa ya upinzani nchini.