Skip to main content
Skip to main content

Uhuru aonya dhidi ya siasa za chuki za kikabila

  • | Citizen TV
    6,889 views
    Duration: 3:22
    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewaonya wanasiasa dhidi ya kueneza chuki ya kikabila, akisema kauli hizo zinaweza kusababisha migawanyiko na machafuko nchini. Uhuru ameonya kuwa ghasia zilizoshuhudiwa baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 zinaweza kujirudia iwapo viongozi hawatadhibiti matamshi yao. Akizungumza katika kikao na wajumbe wa chama cha Jubilee huko Kiambu, aliwataka Wakenya kuwachunguza viongozi kwa makini kabla ya kuwachagua. Emmanuel Too anatukunjulia jamvi la Nipashe na taarifa hiyo.