Skip to main content
Skip to main content

Uhuru asema aliwaonya wakenya kuhusu Ruto na serikali yake ya majaribio

  • | Citizen TV
    23,071 views
    Duration: 2:55
    Rais mstaafu uhuru kenyatta amemkashifu rais william ruto kwa kurejesha nyuma maendeleo nchini kwa kufanya majaribio kwenye masuala muhimu ambayo yanaathiri wananchi. Akizungumza kwenye mkutano maalum wa wajumbe wa chama cha jubilee jijini nairobi, uhuru aliwakumbusha wakenya kuwa aliwaonya dhidi ya kumchagua aliyekuwa naibu wake kama Rais.