- 22,317 viewsDuration: 2:55Rais mstaafu uhuru kenyatta amemkashifu rais william ruto kwa kurejesha nyuma maendeleo nchini kwa kufanya majaribio kwenye masuala muhimu ambayo yanaathiri wananchi. Akizungumza kwenye mkutano maalum wa wajumbe wa chama cha jubilee jijini nairobi, uhuru aliwakumbusha wakenya kuwa aliwaonya dhidi ya kumchagua aliyekuwa naibu wake kama Rais.