10 Jun 2026 10:40 am | Citizen TV 682 views Duration: 1:34 Hatimaye maafikiano kuhusu eneo la ujenzi wa bewa la Chuo Kikuu cha Maasai Mara kwa heshima ya aliyekuwa mbunge wa Emurua Dikirr marehemu Johanna Ng'eno katika kijiji cha Simotwet eneo bunge la Emurua Dikirr yakamilika.