24 Aug 2026 10:34 am | Citizen TV 3,480 views Duration: 2:16 Ujenzi wa daraja jipya la Tana na sehemu ya barabara kuu ya kutoka Garissa kuelekea Madogo kaunti ya Tana River unakaribia kukamilika Oktoba.