Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa madarasa mapya Mavoko kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa watoto

  • | Citizen TV
    588 views
    Duration: 2:18
    Watoto wa shule za chekechea katika Kaunti ya Machakos wanatarajiwa kupata mazingira bora ya kujifunzia kufuatia ujenzi wa madarasa mapya katika eneo la Mavoko.