- 542 viewsDuration: 1:33Zoezi la serikali la kukusanya maoni ya wakaazi kuhusu ujenzi wa smart city na nyumba za bei nafuu katika uwanja ndege lilikosa kufanyika kama ilivyoratibiwa . Mwaniaji wa ugavana kaunti ya Bungoma Zakaria Barasa aliwasilisha kesi mahakamani kupinga ujenzi huo . Baadaye zakaria aliwahutubia wakaazi waliofika na kuwaeleza sababu zilizomchochea kupinga kujengwa kwa smart city na nyumba za bei nafuu katika ardhi hiyo