- 1,074 viewsDuration: 4:05Kiu imewakaba koo wakazi wa singiraine katika kaunti ya kajiado, huku ukame ukizidi kuathiri upatikanaji wa maji. wakazi wa eneo hilo wanasema kuwa wao husafiri hadi kilomita 45 kutafuta maji na yanayopatikana karibu wananunua hadi shilingi 150 kwa mtungi wa lita 20, huku wakisema kusitishwa kwa shughuli za kampuni ya tata chemicals magadi kumezidisha masaibu yao.