22 Sep 2026 1:28 pm | Citizen TV 483 views Duration: 3:49 Shule nyingi katika Kaunti ya Busia zinakabiliwa na ukosefu wa umeme, hali inayowaathiri wanafunzi wanaohitaji intaneti kwa masomo ya kidijitali.