Skip to main content
Skip to main content

Ulinzi waimarishwa ziara ya Ruto pwani baada ya tukio Kilifi

  • | Citizen TV
    16,336 views
    Duration: 2:42
    Siku moja tu baada ya mtu mmoja kumkimbilia Rais William Ruto akiwa jukwaani Kilifi, ulinzi wake uliimarishwa zaidi huku akiendelea na ziara yake katika eneo la Pwani. Maafisa wa kumlinda rais, akiwemo wale wa GSU na wengine waliovaa sare za kiraia, waliongezwa ili kuhakikisha analindwa vilivyo. Katika ziara hiyo, Rais Ruto aliwaambia wakazi wa Pwani kuwa watapata hati miliki katika muda wa miezi mitatu ijayo.