Skip to main content
Skip to main content

Umaskini waweka wakazi wa Kandunyi kaunti ya Bungoma katika hatari ya mvua kubwa

  • | Citizen TV
    843 views
    Duration: 1:27
    Umaskini umezidi kuwa changamoto kwa wakazi wa eneo bunge la Kanduyi, huku tishio la mvua za El Niño likiwaweka katika hatari zaidi wale wanaoishi katika mazingira duni na nyumba zisizostahimili mvua kubwa.