- 1,019 viewsDuration: 4:02Kwa miaka mingi, umeme ulikuwa zaidi kwa watu waliojiweza nchini, ila sasa nguvu za umeme zimeingia vijijini katika sehemu nyingi nchini. Kutoka kwa muuza duka eneo la Bargeywe, Kaunti ya Kericho, ambaye sasa haogopi giza la usiku, hadi kwa mwanafunzi wa Kaunti ya Busia anayefanya kazi zake za ziada nyumbani bila wasiwasi, tunaangazia taswira mpya ya stima nchini, huku wengine bado wakisubiri nafasi yao kuwekewa mwangaza huu.