Skip to main content
Skip to main content

Unajua mafuta yanatumika si tu kwenye magari hata katika vipodozi?

  • | BBC Swahili
    14,975 views
    Duration: 2:03
    Mafuta yanatumika karibu kila sehemu katika maisha ya sasa hata kwenye vitu ambavyo huenda usingetarajia. Yanatumika kuendesha usafiri, lakini pia hupatikana katika vitu vya matumizi ya kila siku kama plastiki, lami na mafuta ya midomo. Elizabeth Kazibure anaelezea 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #mafutairan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw