Skip to main content
Skip to main content

Unyanyapaa waathiri watu wenye ukurutu wa ngozi kaunti ya Homa Bay

  • | Citizen TV
    1,140 views
    Duration: 3:53
    Huku ulimwengu ukieendelea kuadhimisha mwezi wa uhamasisho kuhusu ukurutu wa ngozi yaani eczema, wakazi wengi wa kaunti ya homa bay wanakabiliwa na changamoto ya unyanyapaa. Inasikitisha kuwa baadhi ya wakazi wanaamini kwamba ungonjwa huo unasababishwa na uchawi au laana katika jamii.