25 Aug 2026 10:23 am | Citizen TV 419 views Duration: 1:31 Hatimaye, uongozi wa chama Cha ODM tawi la Uriri kaunti ya Migori waamua kuweka tofauti zao za kisiasa kando na kuanza mchakato wa kuimarisha chama mashinani.