Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waahidi kuungana kumwondoa Ruto madarakani

  • | Citizen TV
    3,105 views
    Duration: 2:33
    Viongozi wa upinzani wamesema wataungana pamoja kuhakikisha wanamuondoa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza eneo la Kitale, kaunti ya Trans Nzoia, wanasiasa hao wamesema watahakikisha wanamsimamisha mgombea mmoja ili kuimarisha nguvu ya upinzani. Collins Shitiabayi ana taarifa kuhusu siasa za mwaka ujao zilizotawala kumbukizi ya aliyekuwa naibu rais, marehemu Michael Kijana Wamalwa.