- 3,715 viewsDuration: 2:41Wanasiasa wa Upinzani wameendelea kuishutumu serikali kwa madai ya kueneza ufisadi kwa kuongeza bei ya bidhaa muhimu nchini. Wakizungumza maeneo tofauti, kinara wa DCP Rigathi Gachagua na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pia wamewataka wakenya kupinga mswada wa fedha wa mwaka huu,wakionya kuwa watapanga maandamano dhidi ya kile wanachokitaja kuwa unyanyasaji wa serikali ya Rais Willliam Ruto.