Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wapendekeza bajeti ya trilioni 4.3 bila ongezeko la ushuru

  • | Citizen TV
    1,936 views
    Duration: 3:10
    Muungano wa upinzani umependekeza bajeti ya shilingi trilioni 4.3 inayosema haitaongeza ushuru kwa mwananchi, tofauti na bajeti ya serikali ya shilingi trilioni 4.8 inayotarajiwa kuwasilishwa kesho. Viongozi hao wameelezea mikakati ya kupunguza bajeti hiyo endapo wangekuwa mamlakani.