Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wapuuza madai ya mgawanyiko ndani ya Linda Mwananchi

  • | Citizen TV
    4,493 views
    Duration: 1:10
    Wanasiasa wa upinzani wamepuuzilia mbali kuwepo kwa mgawanyiko ndani ya Linda Mwananchi. Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi na Kiongozi wa DAP-Kenya Eugene Wamalwa badala yake wamelaumu serikali kwa kutaka kugawanya upinzani. Hata hivyo, wanasiasa hawa wa upinzani wanasema tofauti zozote zilizopo zinaendelea kushughulikiwa na upinzani umeendelea kusalia imara. Wamezungumza kwenye hafla tofauti za mazishi maeneo ya Vihiga na Trans Nzoia