Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wataka IEBC isiahirishe uchaguzi wa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    1,397 views
    Duration: 2:37
    Viongozi wa upinzani sasa wameitaka tume ya uchaguzi nchini IEBC kukomesha kabisa fikra za kuahirisha uchaguzi mdogo wa juma lijalo eneobunge la Ol Kalou. Kinara wa DCP Rigathi Gachagua na mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka wakiitaka IEBC kuendelea na mipango ya uchaguzi wa alhamisi kama ilivyopangwa.