Skip to main content
Skip to main content

Usafiri wa umma wasambaratika katika maeneo mengi nchini

  • | Citizen TV
    56,368 views
    Duration: 8:36
    Huduma za usafiri wa umma zimesambaratika katika miji mbalimbali nchini kufuatia mgomo uliosababishwa na ongezeko la bei ya mafuta. Wakenya walikumbwa na taswira isiyokuwa ya kawaida asubuhi ya leo baada ya wahudumu wa magari ya usafiri wa umma kusitisha huduma zao barabarani, hatua ambayo imewaathiri pakubwa wananchi waliokuwa wakielekea katika maeneo mbalimbali.