14 Jan 2026 1:47 pm | Citizen TV 259 views Duration: 2:52 Usajili wa wanafunzi wa gredi ya 10 katika shule za upili ukiingia siku ya tatu, wazazi katika kaunti ya Samburu wamelalamikia kubanwa na gharama ya kuwawezesha watoto wao kujiunga na shule za upili.