Skip to main content
Skip to main content

Usajili wa wanafunzi wa gredi ya 10 waingia siku ya tatu - Samburu

  • | Citizen TV
    223 views
    Duration: 2:52
    Usajili wa wanafunzi wa gredi ya 10 katika shule za upili ukiingia siku ya tatu, wazazi katika kaunti ya samburu wamelalamikia kubanwa na gharama ya kuwawezesha watoto wao kujiunga na shule za upili.